Poleni na majukumu wana JF, kwa kupitia LINK hiyo hapo chini unaweza pata msaada wa kisheria, hasa sheria za kimataifa ni bure hakuna malipo yoyote yale....fuata hizi process
1) Fungua hiyo link
2) Nenda chini kabisa ktk hiyo website
3) Click haya maneno "ASK A LAWYER"
4) Sasa utakuwa tayali kuuliza swali lolote
5) Nautajibiwa. Easy Legal Forms & Contracts for Wills Leases and More ¦ LawDepot
nimefungua nimeona mengi humu ndani, asante sana kwa link aisee. pia waweza kuchungulia na hapa pia huwa tunajibu maswali mara nyingi. bofya SHERIA KWA KISWAHILI