Hizo nimetoa kwa site yao lakini ndio mchakato uko hivoTupia picha za mashine na vigae unavyoweza tengeneza
Habari wrote,
Naomba niwaaahirikishe jambo moja .Nikiwa mmoja wa wadau nikishirikiana na taasisi ya serikali inayojulikana kama National House Building Research Agency ,ambayo inapatikana mwenge pale round about .Kuna fursa pale wanatoa mafunzo na kuuza mashine ambazo utaweza kutengeneza vigae vya kupaua nyumba kwa rangi ambayo utapenda mwenyewe.watu wengi wamenyanyuka pia kwa kuifanya kibiashara,
Nimeamua kuwashirikisha fursa hii,ambaye atakua na swali karibu
Labda nikufahamisshe kwanza vitu utakavyohitajiTaja bei za mashine hizo
Toa elimu kamili moulds ni nini na zina faida gani na Gharama yakeLabda nikufahamisshe kwanza vitu utakavyohitaji
1.Vibrating mashine 250,000
2.Moulds 25,000
3.Cement
4.Mchanga
5.Katani
6.Rangi
Gharama zinaweza kuwa juu kdg kwenye mould kulingana na utaanza nazo ngapi,wengine wanaanza na moulds 100,wengine 200
ok,Toa elimu kamili moulds ni nini na zina faida gani na Gharama yake
Gharama yake kwa pale taasisi wanauza 25,000 kwa moja ,kama nilivyosema mie ni mdau,so kwa ambae atakua serious kuna namna ntamuelekeza apate kwa bei pungufu.Toa elimu kamili moulds ni nini na zina faida gani na Gharama yake
Machine inatengeneza vigae vingapi kwa saa? Au inakiwa kama unatengeneza Tofali?Gharama yake kwa pale taasisi wanauza 25,000 kwa moja ,kama nilivyosema mie ni mdau,so kwa ambae atakua serious kuna namna ntamuelekeza apate kwa bei pungufu.
Nataka ayo mafunzo ninapitia hatua gani sasa?Ni kama tofali,na wingi was nguvu kazi yako,kijana anayetengeneza akiwa fasta ndio utapata jibu zuri,lakini pia walimu wa pale watawafundisha zaidi
Siugoogle mbona unamgombeza kama umelipa adaToa elimu kamili moulds ni nini na zina faida gani na Gharama yake
Sijamgombeza nimeuliza mkuu. Sema maandishi yanasomeka kama ubabe umetumika kumbe si lengo langu mkuuSiugoogle mbona unamgombeza kama umelipa ada
Mafunzo ukihitaji wewe fika tu pale ,njoo inbox ntakupa mawasiliano,sio busara kuweka number hapa,but hata ukifika tu watakupokea.vizurivipi zile mashine za kutengeneza tofali za udongo mmezipunguza bei kidogo? na nikitaka kuja na vijana wangu tunafanya tratibu gani kwaajili ya vijana wangu kupata mafunzo?
Mie nimeezeka nyumba yangu,sio kama najaribu kuwashawishi lakini.gharama ziko kawaida sana kwa mbao,na zinafidia kwenye vigae,imagine mie mtu nyumba ya kawaida kama utatumia vigae 3000 kwa 500 ,ni 1.5m hiyo,hiyo no.bei.ya vigae ,lakini in.vema mtu akafanya research na.Fundi utaelewa.vizuriHii kitu namkumbuka marehemu kibs kwenye kipindi chake cha maisha ni nyumba, aliwai kufanyia kipindi pale mwenge kwa hao jamaa.
Tatizo la siku hizi watu wanavikataa vigae kuwa vina kula mbao asee