Kigae kimoja hadi kiwe tayari kuuza kinagarimu sh ngapi?Habari wrote,
Naomba niwaaahirikishe jambo moja .Nikiwa mmoja wa wadau nikishirikiana na taasisi ya serikali inayojulikana kama National House Building Research Agency ,ambayo inapatikana mwenge pale round about .Kuna fursa pale wanatoa mafunzo na kuuza mashine ambazo utaweza kutengeneza vigae vya kupaua nyumba kwa rangi ambayo utapenda mwenyewe.watu wengi wamenyanyuka pia kwa kuifanya kibiashara,
Nimeamua kuwashirikisha fursa hii,ambaye atakua na swali karibu
Sina uhakika na.bei ya zile mashine,kama nlivyosema.mie siko pale ,but nimeshirikiana nao tu sehem mbili tatuvipi zile mashine za kutengeneza tofali za udongo mmezipunguza bei kidogo? na nikitaka kuja na vijana wangu tunafanya tratibu gani kwaajili ya vijana wangu kupata mafunzo?
Unaweza Fanya kuanzia 600-800 hata buku,kama mtu akiupeleka dodoma.ambako ujenzi mkubwa unaendelea hata buku unafanyaKigae kimoja hadi kiwe tayari kuuza kinagarimu sh ngapi?
Utauza kwa sh kwa kimoja?
Sio kama nawatetea jamaa,lakini mie nimevitumia kwa nyumba yangu,I don't regret,mbao bei ni mule mule,uzito wake sidhani kama una.hayo madhara kwenye mbao za 2x2.nilinunua kwa sh 500 by then,na nlitumia 3,000 kwa nyumba ndogo tu,so you can imagine.Angalia mfanokweli ni somo zuri sana, ila kwa sas hivyo vigae vimepitwa na wakati,kwanza ni vizito sana hivyo kusababisha mbao za kubebea kuchoka baada na muda mfupi na pili itaongeza garama ya mbao kwan zinaingia nyingi sana kwenye nyumba,ni bora wangefundisha namna ya kutengeneza stone coated tiles ambavyo vinatumia bati kwani ni vyepesi na havina garama kubwa kwenye mbao
Dah,Mafunzo ukihitaji wewe fika tu pale ,njoo inbox ntakupa mawasiliano,sio busara kuweka number hapa,but hata ukifika tu watakupokea.vizuri
Sasa mould ukinunua ni kama unataka kuifanya biashara,utengenze uwauzie wengine pia.lakini kama nia ni kununua na kujenga unanunua tu pale moul haikuhusuY
Dah,
Mould ya kigae kimoja ni 25,000/=?
Then kigae kinauzwaje sasa?
Sasa mould ukinunua ni kama unataka kuifanya biashara,utengenze uwauzie wengine pia.lakini kama nia ni kununua na kujenga unanunua tu pale moul haikuhusuY
Dah,
Mould ya kigae kimoja ni 25,000/=?
Then kigae kinauzwaje sasa?