Unaweza tafsiri kwa lugha yenu ya asili?

Kusema ukweli nampenda sana diamond kwasababu lady j dee ana sauti nzuri 😛

Kunielewa pia lazima uvute bangilization
 
A kiss kissed can be rekissed if the kisser and the kissee agree that the kiss kissed was not well kissed.
Busu lilobuswa linaweza kubuswa tena ikiwa mbusaji na mbuswaji wanakubaliana kwamba busu lilobuswa halikubuswa vizuri
 
Hahah!! Itabidi tutafutane kujua vijiji vyetu unawezakuta ni ndugu sisi
Aisee uzi umewaunganisha ndugu. Ninyi kwa kua lugha yenu ya asili ni kiingereza mtakua mnatoka UK(Uru Kishumundu).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…