Unaweza tumia njia gani kumwambia mwenza wako kuwa ananuka mdomo bila kumfanya ajisikie vibaya

Unaweza tumia njia gani kumwambia mwenza wako kuwa ananuka mdomo bila kumfanya ajisikie vibaya

fablo can

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2016
Posts
1,223
Reaction score
1,267
Habari za usiku huu wana JF....

Naomba nijikite kwenye mada moja kwa moja.

Ndugu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba tuelekezane namna ya kumwambia Mwenza wako eidha wa kike ama wa kiume ukukitana na janga kama hilo.

UTAMWAMBIEJE Au UTAMSHAURIJE ILI ASIJISIKIE VIBAYA MTU WAKO KAMA MDOMO WAKE UNANUKA??

Ahsante naonba kuwasilisha.

karibuni kwa maoni
 
Wee vipi bhana, utamu wa supu ya utumbo iwe na mavi kidogo... Demu mwenye alufu ya mdomo denda lake linanukia mkuu.
 
Back
Top Bottom