Habari za usiku huu wana JF....
Naomba nijikite kwenye mada moja kwa moja.
Ndugu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba tuelekezane namna ya kumwambia Mwenza wako eidha wa kike ama wa kiume ukukitana na janga kama hilo.
UTAMWAMBIEJE Au UTAMSHAURIJE ILI ASIJISIKIE VIBAYA MTU WAKO KAMA MDOMO WAKE UNANUKA??
Ahsante naonba kuwasilisha.
karibuni kwa maoni