Unaweza ukaanza biashara bila mtaji..

Ndio. Kwa biashara halali ya fasta fasta nayoijua ni Kuokota chupa tupu za maji. Unachohitaji ni 'kigunia' chako cha kuhifadhia chupa then unaingia kitaa tayari kwa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…