Mate yana vimelea vya virusi vya ukimwi japo si kwa kiwango kikubwa. Wanaotoa semina za ukimwi wanaasa kabisa kuwa usifanye tongue kiss, na kulamba kule kunako kwa wote wawili. Kwa hiyo kama si mpenzi ni mtu mmekutana tu achana na huyo ktu kabisa!!!! Hata mchezo wa kuchezea kunako wakati wa masuala hayo achana naho kabisa. Iwe kijeshikijeshi kwa wale ambao si wapenzi mliopimana. But suali la kizushi!!! Hivi unakubalje kutembea na mtu siku hizi bila kupima afya na kuaminiana? Kwa tahadhari mtu yeyote kama mkitakana na mmoja akawa anabisha kupima kimbia ufe kama umemwona polisi wa Tanzania na silaha ikiwepo bomu!!!! Kupima siku hizi less than 30 minutes na unaondoa adha ya kuugua na kuishi kwa hofu over years with ARV!!! Acha ngono zembe, julize tuko wangapi? Tulizana!!! Vunja mtandao.