Kiufupi pesa ndio itakukutanisha na watu na mademu Ila shobo pia zinawasaidia wale ambao wanapenda vya bule.Wana JF mambo niaje mimi nauliza eti katika haya maisha bila kuwa na SHOBO na watu hauwezi ukapata washikaji wala mademu ??? Au hata mchongo wowote ule ???
Mimi binafsi sinaga Shobo na watu ila natumaini nitapataga watu au marafiki wa kuendana na nao
Karibu ufunguke...............
Sent using Jamii Forums mobile app
Attention na Authenticity ndo jibu sahihi apo. Authenticity ndo inawavuta watu sahihi kwako na kuwaondoa wasio sahihi kwako.Wana JF mambo niaje mimi nauliza eti katika haya maisha bila kuwa na SHOBO na watu hauwezi ukapata washikaji wala mademu ??? Au hata mchongo wowote ule ???
Mimi binafsi sinaga Shobo na watu ila natumaini nitapataga watu au marafiki wa kuendana na nao
Karibu ufunguke...............
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani naomba tafsiri ya neno shobo.Wana JF mambo niaje,
Mimi nauliza eti katika haya maisha bila kuwa na SHOBO na watu hauwezi ukapata washikaji wala mademu? Au hata mchongo wowote ule?
Mimi binafsi sinaga Shobo na watu ila natumaini nitapataga watu au marafiki wa kuendana na nao.
Karibu ufunguke.
Sent using Jamii Forums mobile app
KujipendekezaSamahani naomba tafsiri ya neno shobo.