Unaweza ukapenda alafu ukawa hauna hisia za kimapenzi na huyo mtu?

twenty2

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
296
Reaction score
32
Ni kisa cha kweli kunarafiki yangu wa kiume alijiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi na msichana ambaye alikutana nae wakiwa wanachart facebook,na ilichukua mda mpaka anamtongoza,wakakubaliana na hata kushiririki mechi wameshiriki mara moja bt baada ya hapo huyo rafiki yangu alikuwa anamuda tena na mawasiliano na huyo msichana kwenye simu mpaka hajisikie,mpaka siku msichana hakamwambia ninamazungumzo na yy,rafiki akaenda akakutana nae sasa walipo kutana msichana akamuuliza kwa nn amebadilika?rafiki yangu akajibu kwasasa hana hisia zozote za kimapenzi na msichana yoyote yule,je ni kwanini ipo hivyo?
 
kapata mwingine anaye mridhisha,anatumia uongo huo kumpooza dada wa watu.
 
Alikuwa anataka amtafune tu huyo dada, au alitegemea atakuta kuna tofauti na ile aliyoizoea. baada ya kumega na kukuta hakuna tofauti ndio hapo kajidai hana hisia...
 
mwanafunzi wangu unaongea lugha gani hizo?
 
hahahahaaaaaa! huyo jamaa yako muhuni alitaka tu kunaniiii na kusepa!
 
kuna tofauti kubwa kati ya kupenda na kutamani. Rafiki yako alitamani hakupenda

Tena hilo lipo waaazi kabisa...utakuta jamaa kavutiwa na picha yake ya photopoint,tamaa ndo ikapamba moto..jinsi gani watu wanavyopenda kuabudu mashimo...#nonsense..
 
natamani kufahamu jinsia yake aisee
 
Hii haitofautiani sana na hizi local promo za kutafuta mume/mke kwenye magazeti...hebu fikiria watu wamekua na wasichana/wavulana wao tokea enzi,wanafahamiana na kujuana vizuri na bado wanashindwa ku coup sa vije wee uje na proposal ya ndoa kabisa ilihali hata unayemtaraji huna idea nae...ibianeni tu me sishauri!
 
Ni kisa cha kweli kunarafiki yangu wa kiume alijiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi na msichana ambaye alikutana nae wakiwa wanachart facebook,na ilichukua mda mpaka anamtongoza,wakakubaliana na hata kushiririki mechi wameshiriki mara moja bt baada ya hapo huyo rafiki yangu alikuwa anamuda tena na mawasiliano na huyo msichana kwenye simu mpaka hajisikie,mpaka siku msichana hakamwambia ninamazungumzo na yy,rafiki akaenda akakutana nae sasa walipo kutana msichana akamuuliza kwa nn amebadilika?rafiki yangu akajibu kwasasa hana hisia zozote za kimapenzi na msichana yoyote yule,je ni kwanini ipo hivyo?

wewe ndio huyo msichana. Msahau huyo jamaa. Pole
 
Nachukia sana haya maneno "Kuna rafiki yangu" kwani ukisema ni wewe mwenyewe kuna tatizo gani? Uwa sitoi ushauri wa c/o
 
Back
Top Bottom