Unawezaje kuendesha biashara ya Logo( Clothing Brands) endapo unazo nyingi

milcyphina_tz

Member
Joined
May 24, 2019
Posts
12
Reaction score
1
Habari ndugu zangu..

Mimi nimeamua kujishughulisha na biashara ya logo za nguo kama ilivyo African boy ya Jux

Lakini mimi sitaki kujishughulisha na logo moja tu kwasababu nina mawazo mengi

Naombeni mnishauri jinsi ya kuzipangilia yaani ipi itoke ipi ifate na kwenye kuzitoa zipishane kwa muda gani na ninawezaje kuzi manage zote ziuze kwa pamoja

Ni hivyo tu ndugu zangu
 
Sijakuelewa, sijui wenzangu kama wamekuelewa.
 
Hapo chagua logo kali kulko zote,then toa piece nyingi. Afu logo zlzobaki toa piece chache angalia logo ipi itapokelewa na kununuliwa sana na wateja. Kisha izalshe kwa wingi hyo inayonunuliwa sana na wateja.
 
Anhaaaaa asante hapo nmekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…