Unawezaje kugundua kuwa Umerogwa?

Unawezaje kugundua kuwa Umerogwa?

Kipenseli

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
825
Reaction score
1,074
Habari zenu wakuu?

Poleni na swiam na mapambano dhidi ya kirusi kinachohatarisha amani ya dunia

Niende straight na lengo au nia yangu ya kutaka kuuliza especially kwa ambao washawahi kuexperience hii situation

Je, ni kweli kurogwa kupo? ushuhuda? na je ni kivipi unaweza kugundua kuwa umerogwa?
Huenda mimi pia ni muhanga[emoji18]
 
Ukiona unashabikia sana ccm na viongozi wake hujui mzigo ushatiki
 
Back
Top Bottom