Huenda kurogwa ni inshu tu za kufikirikaNgoja waje wenye experience zao[emoji1]
Ukiona unashabikia sana ccm na viongozi wake hujui mzigo ushatikiHabari zenu wakuu?
Poleni na swiam na mapambano dhidi ya kirusi kinachohatarisha amani ya dunia
Niende straight na lengo au nia yangu ya kutaka kuuliza especially kwa ambao washawahi kuexperience hii situation
Je, ni kweli kurogwa kupo? ushuhuda? na je ni kivipi unaweza kugundua kuwa umerogwa?
Huenda mimi pia ni muhanga[emoji18]
Kwahiyo wasiofatilia siasa hawarogwi?Ukiona unashabikia sana ccm na viongozi wake hujui mzigo ushatiki