holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Wakuu,
Wengi wetu hapa jukwaani tumepitia hii changamoto,unakuta umempenda dada wa watu sana,bahati nzuri amekukubalia
Ulipoenda kwenye sita kwa sita unakuta size ya vikojoleo haiendani may be,mwanaume ni mkubwa kuliko mtoto wa kike,au kinyume chake,
Kuna mdada mmoja nilimtongoza akakubali,nikaenda nae kwenye bed tukafanya uzinzi tukamaliza,akaniambia wewe ndiye size yangu kabisa.
Nikamuuliza unawezaje kujua mwanaume kuwa ni size yako kabla hamjafanya uasherati uzinzi ngono au tendo la ndoa?
Akaniambia wakati wa date wanaume mnapenda kututoa out,kwenye chocho huko mtapeana angalau busu,mtashkana,sa wakati wa kushkana wao hujifanya wanaishika gobole kimaksudi ili kuipima,ndivyo hujua size zao.
Je ni kweli wanawake hutumia njia hiyo? Na wanaume tunatumia njia gani kujua size ya tuwapendao before hamjakutana kunako 6×6?