Unawezaje Kuhama chuo kikuu fulani kwenda kingine baada semester?

La-Ranger

Member
Joined
Apr 27, 2021
Posts
22
Reaction score
13
Habarini za muda Wana jamvii Kama kichwaa Cha habari kinavo jieleza hapo juu. Nilikua nahitaji msaada wa mtu anawezaje Kuhama chuo kikuu Fulani kwenda Fulani baada ya semester moja au baada ya kumaliza mwaka wa kwanza wakatii anaenda ya pili afanye transfer.

Kama iko naombeni msaada maana SuA imenimaliza natamani kwenda Ardhi au MUST Kama Kuna uwezekano plz nijuzenii......🤲🙏
 
  • Thanks
Reactions: p2k
Inawezekana ikiwa programme unayosoma Ipo pia chuo unachotaka kuhamia.
 
Habarini za muda Wana jamvii Kama kichwaa Cha habari kinavo jieleza hapo juu. Nilikua nahitaji msaada wa mtu anawezaje Kuhama chuo kikuu Fulani kwenda Fulani baada ya semester moja au baada ya kumaliza mwaka wa kwanza wakatii anaenda ya pili afanye transfer.

Kama iko naombeni msaada maana SuA imenimaliza natamani kwenda Ardhi au MUST Kama Kuna uwezekano plz nijuzenii......[emoji2969][emoji120]
SUA imekumalizaje?
 
Siku hizi candidate anajichagulia Chuo, tofauti na zamani. Ni Nini kinakufanya uhame na ulichagua mwenywe?!
 
Habarini za muda Wana jamvii Kama kichwaa Cha habari kinavo jieleza hapo juu. Nilikua nahitaji msaada wa mtu anawezaje Kuhama chuo kikuu Fulani kwenda Fulani baada ya semester moja au baada ya kumaliza mwaka wa kwanza wakatii anaenda ya pili afanye transfer.

Kama iko naombeni msaada maana SuA imenimaliza natamani kwenda Ardhi au MUST Kama Kuna uwezekano plz nijuzenii......
Its possible, fuatilia namna ya kutransfer credits kutoka chuo ulichopo kwenda hivho unachoamia.
 
Back
Top Bottom