Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Hii kitu inanitesa sana, binti wa watu mzuri kabisa, hana makuu, mpole, heshima na ana kila sifa ya kuwa wife material,
Tatizo kubwa niko nalo ni kwamba sina hisia naye, sina wivu naye hata kidogo, kuishi naye ni kama nimelazimishwa ni vile tu sina sababu ya kuachana naye, na kuna mengi nimefanya naye hii kitu inafanya iwe vigumu kuchukua maamuzi yeyote.
Wakuu uzi wa kwenu huu ushauri ndio kitu muhimu sana kwa wakati huu.
Je, unawezaje kuishi na mtu ambaye huna hisia naye?
Cc Zero IQ.