Ni mzigo mzito mkuu tena mzigo mzito sanaaHichi unachokipitia niliwah kupitia nilicho gundua sababu ni moja tu Ni uzinzi wa kiwango Cha Hali ya juu .!
Ukiwa mtu wa wanawake wengi aisee kukaa na mwanamke mmoja afu nyumba moja iwe umeoa au sogea tuishi Ni zigo zito Sana kuzid alilotwishwa January Makamba na Tanesco
Sio kwamba hana hisia nae. His mind imezoea wanawake wengi. There for he is not husband material.. he is a playboyHichi unachokipitia niliwah kupitia nilicho gundua sababu ni moja tu Ni uzinzi wa kiwango Cha Hali ya juu .!
Ukiwa mtu wa wanawake wengi aisee kukaa na mwanamke mmoja afu nyumba moja iwe umeoa au sogea tuishi Ni zigo zito Sana kuzid alilotwishwa January Makamba na Tanesco
Siku utakapojua mahusiano yanayodumu yanaenda beyond hisia. Ndipo utajua hiyo hali ya kawaida sana.Hii kitu inanitesa sana, binti wa watu mzuri kabisa, hana makuu, mpole, heshima na ana kila sifa ya kuwa Wife material,
Tatizo kubwa niko nalo ni kwamba sina Hisia nae,sina wivu nae ata kidogo,
Kuishi nae ni kama nimelazimishwa ni vile tu sina sababu ya kuachana nae, na kuna mengi nimefanya nae hii kitu inafanya iwe vigumu kuchukua maamuzi yeyote. .
Wakuu uzi wa kwenu huu Ushauri ndio kitu muhimu sana kwa wakati huu,
Je unawezaje kuishi na mtu ambae huna hisia nae?
Cc Zero IQ.
Hakika,Niliwahi kuwa na mwanmke wa hvyo .mwanmke anaona aibu yule siyo kidgo hata kushika dushe Langu anaogopa hata kuachia paupuchi ipunge upepo awez fanya mbele yangu lolote hata kuwa uchi
Yaani ni mzuri na mkrimu ila aibu katk swal la uchakataji limemkost