Msamiati
R I P
- Mar 6, 2011
- 1,063
- 700
Hii video inamuonesha jamaa akicheza na simba utadhani na yeye ni simba. Hapa najiuliza ,aswali mengi sana, lakini la msingi ni kutaka kujua kama stori tunazosikia kuhusiana na ubandidu wa simba ni fix au uwezekao wa kufuga simba kuanzia akiwa mdogo na akaishi kwa amani na wanyama wengine kama Kuku. Hebu nipeni fact za kitaalamu wenye ujuzi na wanyama nuksi.
Last edited by a moderator: