Ufugaji kama mbwa vile, if you want to change ay living organism, first you have to change the way it think kingali bado kidogo na hakijakomaa kabisa
Kuna msemo wazungu wanasema
"you cant teach a dog new tricks"
Ckubaliani moja kwa moja na msemo huu ila kwa Hapo naweza sema labda inawezekana ila sina uhakika kama unaweza kumfanya simba mwenye umri mkubwa kutoka pale mikumi na awe jamaa yako kama alivyo jamaa yako yule wa mtaa wa 3
NOT SO SURE
.made in mby city.