Unawezaje kuitenganisha CCM na ukatili?

Unawezaje kuitenganisha CCM na ukatili?

Ni makatili ila angalau serikali yao ipo inafanya kazi.Tanzania kuna serikali.
 
CCM Ni chama safi ndio maana siku zote hukemea kwa nguvu zote zidi ya uovu na uonezi wa aina yoyote ile. CCM siku zote imekuwa mtetezi wa wanyonge,kimbilio la wanyonge,sauti ya wanyonge , tumaini la wanyonge na nuru ya wanyonge.ndio maana CCM Inaendelea kuaminika , kukubalika, kupendwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania.

CCM muda wote inahangaika na kutatua shida na kero za watu.muda wote na wakati wote inaumiza na kutumia muda wake katika kugusa maisha ya watu.ccm muda wote inaleta tabasamu kwa maisha ya watu walio katika giza .

CCM Ndio mkombozi na tegemeo la watanzania .
 
Makatili ni machadema ambayo hufanya amsha amsha za kisiasa kwa kutumia marungu na mapanga kama ambavyo ilielezwa na mwanachama wa CHADEMA aliyefanya kazi ndani ya chadema, nakushirika katika matukio hayo ya marungu na mapanga.
 
Unaandika kama umekalia kitu kigumu chenye ncha butu kikiwa kimazama kabisa maungoni mwako
 
Unawezaje kuitenganisha CCM na ukatili dhidi ya watanzania!!??

Ni ukatili wa aina gani ambao bado haujawahi kufanywa na CCM dhidi ya watanzania?
CCM kama chama hakijawahi kufanya ukatili wowote ule dhidi ya Watanzania
Mnaotaka CCM wawe watu wema MNAJISUMBUA BURE!
Kwanini unataka ionekane watu wanajisumbua na hilo?

Wewe hutaki ndugu yako awe mwema, hutaki watu wawe wema? Manake unasema watu Millioni 20 wanaosadikika kuwa ni wana CCM ni makatili na sio wema! Eeh jamani.

CCM kama vyama vingine vya siasa ni mkusanyiko wa watu wenye itikadi na malengo yanayofanana ya Kisiasa.

Ukatitili ni kitendo kinacho wezwa kufanywa na watu binafsi au kimakundi.

Tambua, sio wanachama wote wa chama cha siasa ni wakatili na sio vitendo vyote vya kikatili vinavyofanywa na wanachama wa chama cha siasa.

Njia mojawapo ya kutenganisha CCM na Ukatili ni uwajijibishaji wa watu wanao husishwa na ukatili, yani kwa matendo yao. Chama kinapaswa kukemea vitendo vya kikatili vinvyofanywa na watu.
 
Unawezaje kuitenganisha CCM na ukatili dhidi ya watanzania!!??

Ni ukatili wa aina gani ambao bado haujawahi kufanywa na CCM dhidi ya watanzania?

Mnaotaka CCM wawe watu wema MNAJISUMBUA BURE!
Kikwete alimuua Alphonse mawazo mchana kweupe
 
Makatili ni machadema ambayo hufanya amsha amsha za kisiasa kwa kutumia marungu na mapanga kama ambavyo ilielezwa na mwanachama wa CHADEMA aliyefanya kazi ndani ya chadema, nakushirika katika matukio hayo ya marungu na mapanga.
Ukweli unajua ila unajitoa ufahamu kwa ajili ya fursa unayofukuzia,Mmojapo wa wenyeviti wenu alishawahi kusema wanaCCM hawawezi hata kuachiana maji mezani.
 
CCM Ni chama safi ndio maana siku zote hukemea kwa nguvu zote zidi ya uovu na uonezi wa aina yoyote ile. CCM siku zote imekuwa mtetezi wa wanyonge,kimbilio la wanyonge,sauti ya wanyonge , tumaini la wanyonge na nuru ya wanyonge.ndio maana CCM Inaendelea kuaminika , kukubalika, kupendwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania.

CCM muda wote inahangaika na kutatua shida na kero za watu.muda wote na wakati wote inaumiza na kutumia muda wake katika kugusa maisha ya watu.ccm muda wote inaleta tabasamu kwa maisha ya watu walio katika giza .

CCM Ndio mkombozi na tegemeo la watanzania .
unajua maana ya neno "WANYONGE"
 
Back
Top Bottom