Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Makatili ni machadema ambayo hufanya amsha amsha za kisiasa kwa kutumia marungu na mapanga kama ambavyo ilielezwa na mwanachama wa CHADEMA aliyefanya kazi ndani ya chadema, nakushirika katika matukio hayo ya marungu na mapanga.Ni makatili ila angalau serikali yao ipo inafanya kazi.Tanzania kuna serikali.
Niliwahi kuandika humu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...!Unawezaje kuitenganisha CCM na ukatili dhidi ya watanzania!!??
Mnaotaka CCM wawe watu wema MNAJISUMBUA BURE!!
Taratibu usije ukapaliwa.Makatili ni machadema ambayo hufanya amsha amsha za kisiasa kwa kutumia marungu na mapanga kama ambavyo ilielezwa na mwanachama wa CHADEMA aliyefanya kazi ndani ya chadema, nakushirika katika matukio hayo ya marungu na mapanga.
Unaandika kama umekalia kitu kigumu chenye ncha butu kikiwa kimazama kabisa maungoni mwakoMakatili ni machadema ambayo hufanya amsha amsha za kisiasa kwa kutumia marungu na mapanga kama ambavyo ilielezwa na mwanachama wa CHADEMA aliyefanya kazi ndani ya chadema, nakushirika katika matukio hayo ya marungu na mapanga.
CCM kama chama hakijawahi kufanya ukatili wowote ule dhidi ya WatanzaniaUnawezaje kuitenganisha CCM na ukatili dhidi ya watanzania!!??
Ni ukatili wa aina gani ambao bado haujawahi kufanywa na CCM dhidi ya watanzania?
Kwanini unataka ionekane watu wanajisumbua na hilo?Mnaotaka CCM wawe watu wema MNAJISUMBUA BURE!
Kikwete alimuua Alphonse mawazo mchana kweupeUnawezaje kuitenganisha CCM na ukatili dhidi ya watanzania!!??
Ni ukatili wa aina gani ambao bado haujawahi kufanywa na CCM dhidi ya watanzania?
Mnaotaka CCM wawe watu wema MNAJISUMBUA BURE!
Ukweli unajua ila unajitoa ufahamu kwa ajili ya fursa unayofukuzia,Mmojapo wa wenyeviti wenu alishawahi kusema wanaCCM hawawezi hata kuachiana maji mezani.Makatili ni machadema ambayo hufanya amsha amsha za kisiasa kwa kutumia marungu na mapanga kama ambavyo ilielezwa na mwanachama wa CHADEMA aliyefanya kazi ndani ya chadema, nakushirika katika matukio hayo ya marungu na mapanga.
unajua maana ya neno "WANYONGE"CCM Ni chama safi ndio maana siku zote hukemea kwa nguvu zote zidi ya uovu na uonezi wa aina yoyote ile. CCM siku zote imekuwa mtetezi wa wanyonge,kimbilio la wanyonge,sauti ya wanyonge , tumaini la wanyonge na nuru ya wanyonge.ndio maana CCM Inaendelea kuaminika , kukubalika, kupendwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania.
CCM muda wote inahangaika na kutatua shida na kero za watu.muda wote na wakati wote inaumiza na kutumia muda wake katika kugusa maisha ya watu.ccm muda wote inaleta tabasamu kwa maisha ya watu walio katika giza .
CCM Ndio mkombozi na tegemeo la watanzania .