Unawezaje kujilinda na radi wakati wa mvua kubwa? Kuzima data kunaeupusha kupigwa na radi? Kufahamu hayo na mengine mengi soma uzi huu

Usivae nguo nyekundu.
 
Kwenye ndege siku hakuna hatari ya radi tena,baada ya ugunduzi wa ndege na kuanza kufanya kazi swala la radi lilikuwa changamoto haswa hadi pale wataalamu walipokaa na kulitafutia uvumbuzi.
Imebidi nikusikitikie tu.. hakuna kitu kibaya sana kama hayo mawingu mazito ambayo huku chini mnayaona ni ya kawaida. Mawingu ni mabaya sana na bado yanatesa usafiri wa Anga.
 
Radi haiwezi kupiga gari, pikpik, kwa kuwa, matair ni insulator.
 
Mtaalam wetu toka TMA hayuko mbali na huyu aliyeandika kimalkia
 
Radi ni hatari sana kwa usalama wa anga upande wa ndege, kwasababu ndege ikipita kwenye wingu lenye radi na ikatokea ndege inapita halafu radi ikapiga kuna uwezekano mkubwa wa ndege kulipuka.
Huyo mliyemuhoji hajui kuwa ndege ina vifaa maalum vya kuzuia radi kwanza ameshasikia wapi kuwa ndege imelipuka sababu ya radi?
 
Mwaka 2015 nilipata Fulsa bure ya kusoma bure Chini ya udhamini wa azamu tv hayo mambo ya radi ilikuwa moja ya somo kiukweli hata wazungu wenyewe radi haya ijui mm sikutegemea eti radi inapotokea ni mgongano wa mawingu [emoji16][emoji16] ila najiuliza mgongano tu ulete balaa nyie radi sio poa mm kama fundi nishakuta na Kuona madhara ya radi ni [emoji95][emoji95] sio kitu ya mchezo tuishie hapo
 
Imebidi nikusikitikie tu.. hakuna kitu kibaya sana kama hayo mawingu mazito ambayo huku chini mnayaona ni ya kawaida. Mawingu ni mabaya sana na bado yanatesa usafiri wa Anga.
Mawingu yana kazi kubwa sana soma soma utaelewa mungu fundi wazungu wanachunguza mengi kwenye radi ila hawa elewi
 
Kusini sidhani kama wana utaalamu wa kutengeneza radi,utaalamu wa radi upo Kigoma,Rukwa na Katavi. Jero yako tuu unajichukulia radi yako.
Hiyo radi ya kutengenezwa inaonekana kwa mlengwa tu ama na wengine wanaiona?
 
Yaani kwamba nimewahi kusikia kuwa radi ikinipiga na nimemshika mkono mtu, radi inapita tu shwaaa katika miili yetu bila kutudhuru?
 
Wanajamii forum naomba kujua je NIKWELI MIONZI YA SIMU HUVUTA RADI KIPINDI CHA MVUA?

kumekua na uvumi kua matumizi ya simu kipindi Cha mvua na radi ni hatari na inaweza kusababisha kupigwa na radi je ni kweli maana kuna watu kipindi Cha mvua hawapatikani kwenye simu wakisema mvua na radi ni hatari hivyo walizima simu zao
 
Mawingu yana kazi kubwa sana soma soma utaelewa mungu fundi wazungu wanachunguza mengi kwenye radi ila hawa elewi
Watu hawapendi kusoma, mawingu yanaku na +ve na -ve charges...yenye alike charges yakigusana hayana shida yenye unlike charges yakigusana yanatengeneza umeme(radi)..ule muungurumo uwa ni collision ya mawingu...
 
Kuna uwezokano kuna kua effects kwenye waves inapiga radi..zamani radi ikipiga na redio inazimika yenyewe..technologia imekua risk ni ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…