Unawezaje kujua kinywa chako kinatoa harufu mbaya au hakitoi licha ya kwamba ulipiga mswaki vizuri?

Unawezaje kujua kinywa chako kinatoa harufu mbaya au hakitoi licha ya kwamba ulipiga mswaki vizuri?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Huenda ulipoamka asubuhi ulisafisha kunywa chako vyema kabisa.

Mpaka kufikia nyakati za jioni, labda kwasababu ya vyakula mbalimbali ulivyokula hapo katikatika, je, unawezaje kujua kwamba sasa kwa muda huu harufu ya kinywa inaweza kua mbaya na nzito na ikawa kero kwa wengine?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Huenda ulipoamka asubuhi ulisafisha kunywa chako vyema kabisa..

Mpaka kufikia nyakati za jioni, labda kwasababu ya vyakula mbalimbali ulivyokula hapo katikatika, je, unawezaje kujua kwamba sasa kwa muda huu harufu ya kinywa inaweza kua mbaya na nzito na ikawa kero kwa wengine ?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Jamba, matokeo iwe siri yako.
 
Jamba, matokeo iwe siri yako.
mambo ya upumuzi kwa namna mbalimbali, nadhani iwe topic kwajili ya siku nyingine, leo ni namna ya kujua kama kinywa chako kinatoa harufu na utajuaje kwamba ni kero kwa wengine 🐒
 
Wabongo wao wanajua kupiga mswaki ni asubuhi tu
Mchana kutwa wanakula kama mashine ya kuchakata kokoto, hapo hilo shombo lake linaua hata nzi
kuna wale ambao wanakua na bigG mfukoni. Wale ni kama vile huwa wanajitambua ee, kwamba ikifika muda fulani, kinywa kinaweza kua kimechacha, right?

na kwasababu hiyo anakichangamsha kwa bigG 🐒
 
Mtafute mdau wa karibu mpumulie halafu mwambie akupe jibu. Epuka kukwaza watu.
 
Back
Top Bottom