Jamba, matokeo iwe siri yako.Huenda ulipoamka asubuhi ulisafisha kunywa chako vyema kabisa..
Mpaka kufikia nyakati za jioni, labda kwasababu ya vyakula mbalimbali ulivyokula hapo katikatika, je, unawezaje kujua kwamba sasa kwa muda huu harufu ya kinywa inaweza kua mbaya na nzito na ikawa kero kwa wengine ?๐
Mungu Ibariki Tanzania
kuna wale ambao wanakua na bigG mfukoni. Wale ni kama vile huwa wanajitambua ee, kwamba ikifika muda fulani, kinywa kinaweza kua kimechacha, right?Wabongo wao wanajua kupiga mswaki ni asubuhi tu
Mchana kutwa wanakula kama mashine ya kuchakata kokoto, hapo hilo shombo lake linaua hata nzi