Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau kupika kwa kutumia miiko ,upawa wa mbao na sio plastic wala chumaKuna baadhi ya sufuria za kupikia hutoa kemikali wakati wa kupika chakula nakuchanganyika hivyo kupelekea madhara kama kansa kwa mlaji, wajuzi tuwekeni sawa kwenye hili.