Unawezaje kukuza uwezo binafsi uliopo ndani yako?

Unawezaje kukuza uwezo binafsi uliopo ndani yako?

G lizer

New Member
Joined
Mar 3, 2023
Posts
2
Reaction score
3
Binadam anapo zaliwa anakua na uwezo mkubwa saana wa kuwaza mambo makubwa na ya maana saana. Ila kadri siku zinavyo songa anakua binadam huyu hupitia hali tofauti tofauti na kupelekea kupoteza uwezo mkubwa alio nao na kubaki kuishi maishq ya kawaida na kuona aliyo kua anawazaga ni kama ndoto tu hayawezekani je ni kweli hayawezekani?

Yapo mambo mbalimbali ambayo yanatufanya tufike hapo kukata tamaa ya mafanikio

1 Makundi rika yasio rafiki kwa mafanikio

2 Kukosa muongozo mzuri katika. Hatua za awali

3 Kutoweka mipango ya muda mfupi na kukamilisha

4 Kutomaliza ulicho kianzisha

5 Kukosa nidham ya pesa

6 Kuongozwa na hisia za mwili kupitiliza

7 Kutopenda kujifunza mambo ya msingi na kuishia kufatilia udaku na mafanikio ya wengine na kujisahau

8 Kukosa nidham ya wakati

9 Kuchagua kazi

Moja ya vitu vinavyo tofautisha kati ya mtu alie fanikiwa na asie fanikiwa ni MAAMUZI
Fanya maamuzi sahihi kwako henye tija
 
Back
Top Bottom