Unawezaje kupata HDD original?

Unawezaje kupata HDD original?

osc michael

Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
55
Reaction score
95
Salaam,

Nimekuwa na changamoto, kila internal hdd unayonunua inakufa baada ya muda mfupi. Je, lipi linaweza kuwa suluhisho?
 
HDD original kibongobongo ni Used isiyo na Badsector kupata OG kwa maduka ya kariakoo hata posta mtihani sana nyingi ni copy
kwa lugha nyepesi zinazokuja na mashine
vema ukapa SEAGATE HITACHI ama TOSHIBA
km uko vizuri zaidi nunua SSD

kabla ya yote hizo HDD zinazokufa zinakufaje
hazikubari kubeba window
zinakuwa corupted
zinagonga
haziwaki kabisa ama Vipi

unaweza ukalaumu HDD feki kumbe wewe namna unavyotumia ndo unaua
je ikikuomba kuscan BADSECTOR huwa unafanya hivyo
ukiacha PROSESA kwa uvulilivu mm naona HDD ndo ngumu kufa km utakuwa makini mana mi nina HDD 750gb 7200rpm HGST nachofanya nahama nayo tu mashine kila nikinunua nyingnge nilnunua Pamoja na PC ya HP tangu 2015
 
Yes atwambie zinakufaje maana hdd huwa haitaki kuangushwa angushwa.

Juzi juzi external hdd yangu ilifuta partition zote kidogo nichanganyikiwe maana data zilizokuwemo acha tu.
Nilipata ushauri online kwamba mpaka nifanye recovering partitions na kisha recoring ya files kutoka kwenye hizo partitions ambayo ingechukua muda mrefu sana.

Lakini cha kushangaza nilipata tool iliyofanya hiyo kazi ndani ya dakika kama nne hivi kazi kwisha.
 
Mkuu kwa ninavyofahamu Hdd hazijaingiliwa na hawa wachina, almost zote ni Og.

Sema kkoo zipo refurbished za kutosha, unauziwa HDD kumbe imeshatumika miaka 10 iliopita,

Kama unataka Mpya kabisa Angalia Mjini Freedom computers kuna kipindi niliona WD black 1TB kama 150k.

Na HDD zote zenye failure rate ndogo kabisa ni za Hitachi, na hawa jamaa hawauzi reja reja wanauzia tu makampuni yanayotengeneza laptop, njia nyengine ni kuzisaka hizi za hitachi kwa mafundi computer na ndugu jamaa na marafiki.
 
Asanteni sana, na je hizi external HDD ukazivua yale ma cover then ukatumia km internal HDD zitadumu ?
 
Asanteni sana, na je hizi external HDD ukazivua yale ma cover then ukatumia km internal HDD zitadumu ?
Hakuna utofauti wa external na internal hdd ni zile zile tu, kama una hdd nzuri haijalishi ipo ndani ama nje itadumu tu kama unaijali na ikiwa mbaya vile vile hata uijali vipi itaharibika.
 
Mkuu nicheck 0620552992 nitakuuzia hitachi 750 gb au HGST 500gb
wote hao ni zao la HITACHI
then ninakupa walanty miezi 6 ninakufungia moja kwa moja kwenye PC yako na kukupa tip za kutunza utapata tabu ya tatizo la PC yako kusumbua HDD tena
Thanks nitakucheki mkuu
 
Back
Top Bottom