osc michael
Member
- Sep 10, 2017
- 55
- 95
Hakuna utofauti wa external na internal hdd ni zile zile tu, kama una hdd nzuri haijalishi ipo ndani ama nje itadumu tu kama unaijali na ikiwa mbaya vile vile hata uijali vipi itaharibika.Asanteni sana, na je hizi external HDD ukazivua yale ma cover then ukatumia km internal HDD zitadumu ?
Thanks nitakucheki mkuuMkuu nicheck 0620552992 nitakuuzia hitachi 750 gb au HGST 500gb
wote hao ni zao la HITACHI
then ninakupa walanty miezi 6 ninakufungia moja kwa moja kwenye PC yako na kukupa tip za kutunza utapata tabu ya tatizo la PC yako kusumbua HDD tena