Unawezaje Kupost pumba MMU?

Labda kosa ni la MODs walitakiwa wahamishie topics kama hizo kunakohusika.
 
its simple, wanakua hawajijui kama wanaongea pumba. sijui kama wanafit wapi kwenye hii, bt am just saying: 'if u dont knw that u dont know, ur are foolish!'
 
Pumba ndio mpango mzima, ndio unafanya tuna interact kama kawa! !
 
Pumba ni subjective..., wengine wanaweza kusema kuita post za wenzako Pumba ni "Pumba"
 
hIYO RED HAPO NI PUMBA
 
Maana ya pumba plz!!
Naomba mwongozo
 
Mkuu, unajua binadamu hatuko sawa vivyo hivyo na uwezo wa kufikiri/kuelewa jambo unatofautiana kati ya mtu na mtu. Kila mtu ana mtazamo wake, post ambayo we unaichukulia kama pumba mwenzako anaweza kuiona ipo sawa. Kilichopo ni kuvumiliana tu na kuchallenge ambapo hujaelewa, kama ukiona bado ni pumba basi unapotezea unaelekea kwingine, penye wengi pana mengi ndugu yangu!
 
different interests!
 
me naona mtu hana haki ya kusema post ya mwenzake ni pumba..kila mtu ana mtazamo wake ktk mambo tofauti..wengine hzo unazoita pumba znatuentertain pale tunapokuwa na stress zetu!!..kila mtu akiwa serious humu jukwaa litaboa banaa..
 
Bluu haiwezi kuwa kijani!
 
me naona mtu hana haki ya kusema post ya mwenzake ni pumba..kila mtu ana mtazamo wake ktk mambo tofauti..
mkuu unaongea halafu unajipinga. Kama unakubali kila mtu ana mtazamo wake kwahyo ni sawa kwa wanaoona posts za watu pumba maana hiyo ndio mitazamo yenyewe.
 
mkuu unaongea halafu unajipinga. Kama unakubali kila mtu ana mtazamo wake kwahyo ni sawa kwa wanaoona posts za watu pumba maana hiyo ndio mitazamo yenyewe.
Great Thinker!!
 
MESSI;2267655]me naona mtu hana haki ya kusema post ya mwenzake ni pumba..kila mtu ana mtazamo wake ktk mambo tofauti..wengine hzo unazoita pumba znatuentertain pale tunapokuwa na stress zetu!!..kila mtu akiwa serious humu jukwaa litaboa banaa..
kwa hiyo ukisoma hizi post kama vile... "Jinsi ya ku** bikira"... "natafuta dawa ya viagra"..."mimi napenda fu** barmaids"... "nime Fu*** kwenye gari nakuondoka na thong..etc.. zinakuentertain mpaka stress zinaisha, nina wasiwasi na wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…