Unawezaje Kupost pumba MMU?



Miafrika Ndivyo Tulivyo.
 

Mkuu
Umeongea vizuri lakin kumbuka kwamba hata nyama ya kuku, ili iwe na mvuto na hamu ya kuila kwa walio wengi basi iwe na mfupa wake, japo mwisho wa mlo tunatupa huo mfupa.
Japo ni mfupa, lakin ndio ulifanya nyama inoge.
Na kumbuka huyu kuku tulimtoa manyoya.

So humu kuna manyoya, mifupa, na nyama yenyewe ya kuliwa. Lakin vyote ni muhimu kumkamilisha kuku.
Kwahiyo mlaji ndio atajua, nini ale nini atupe
 
ukikuta mtu kapost pumba unapita, sio lazima uchangie, mwingine hiyo pumba unayoisema kwake ilikuwa sio pumba, kwa hiyo kuchukulia post za wenzio pumba ni negative attitude yako tu.
 
we mwenyewe umemwaga pumba, hapa ni MMU, Unaleta complains, hujaona jukwaa la malalamiko?
 
teh teh teh teh teh teh

Hivi sisi ambao Rep Power zetu ni Zero maana yake post zetu zote Pumba?

Hivi avatar yangu ni handsome?
 
teh teh teh teh teh teh

Hivi sisi ambao Rep Power zetu ni Zero maana yake post zetu zote Pumba?

Hivi avatar yangu ni handsome?

Hahahahahaah
Nilikuwa sijui hii
 
Mkuu kweli ur blinded, unajenga hoja ambayo ipo wazi kabisa, hakukuwa na haja ya wewe kuja na vimifano vingi, ambavyo naamini mpaka unavipata umetumia muda mwingi kufikiria tena kupitia ktk threads nyingi za watu. Hata hapa wewe umeyafanya madudu yale yale, HII THREAD YAKO NI PUMBA MTUPU MKUU with a lot of MAJUNGU na UNAFIKI. Ibara ya 18. Katiba ya Tanzania inatambua juu ya Uhuru wa kutoa maoni na kuelezea pasipo uwoga mawazo yako. Pole!
 
Mkuu asipokuelewa hapa hata kuelewa/kumwelewa yeyeto. Kazi njema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…