zerdi Member Joined Dec 20, 2016 Posts 12 Reaction score 4 Jan 3, 2017 #1 Hello, sifundishi ila nna challenge moja, haiwezekani kutengeneza milioni mbili ndani ya siku 30?! Anyways share mawazo yako, and nitarudi baada ya siku kadhaa kushare nilichoona kinawezekana.
Hello, sifundishi ila nna challenge moja, haiwezekani kutengeneza milioni mbili ndani ya siku 30?! Anyways share mawazo yako, and nitarudi baada ya siku kadhaa kushare nilichoona kinawezekana.
Mkungwa Member Joined Dec 27, 2016 Posts 20 Reaction score 5 Jan 3, 2017 #2 Inawezekena kupata milioni mbili kwa mwezi lakini inategemea mtaji ulionao
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,654 Reaction score 8,564 Jan 3, 2017 #3 inawezekana kabisaa ukitumia NETWORK BUSNESS
aikaruwa1983 JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 1,398 Reaction score 1,500 Jan 3, 2017 #4 tuanye una watu wanne wanakuamini ukaawakopa laki tano kila mtu hapo inakuwaje
kenstar JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 2,276 Reaction score 1,443 Jan 3, 2017 #5 Hio hela MBONA ndogo unatengeza Kwa SAA tu
Nimkimbilie nani JF-Expert Member Joined Nov 23, 2016 Posts 5,996 Reaction score 6,290 Jan 3, 2017 #6 Kivipi
TIASSA JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 2,926 Reaction score 3,530 Jan 3, 2017 #7 Inategemea na biashara na mtaji ulio nao
LURIGA JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 2,436 Reaction score 3,723 Jan 3, 2017 #8 Simple. Nenda kwa sangoma na ufuate masharti bila kukosea
R Rabboni JF-Expert Member Joined Apr 6, 2015 Posts 1,096 Reaction score 1,588 Jan 4, 2017 #9 inawezekana
Njopino JF-Expert Member Joined Apr 8, 2014 Posts 3,468 Reaction score 5,060 Jan 4, 2017 #10 Inawezekana vp mtupe mchanganuo sio inawezekana tu haitoshi.
charleslee JF-Expert Member Joined Aug 4, 2016 Posts 408 Reaction score 200 Jan 4, 2017 #11 Ngoja waje
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,099 Reaction score 25,347 Jan 4, 2017 #12 Utakuwa umesoma stori ya jamaa wa Mwanza anayeuza Mbwa na ndani ya mwezi mmoja anainiza zaidi ya millioni mbili.
Utakuwa umesoma stori ya jamaa wa Mwanza anayeuza Mbwa na ndani ya mwezi mmoja anainiza zaidi ya millioni mbili.
zerdi Member Joined Dec 20, 2016 Posts 12 Reaction score 4 Jan 4, 2017 Thread starter #13 aikaruwa1983 said: tuanye una watu wanne wanakuamini ukaawakopa laki tano kila mtu hapo inakuwaje Click to expand... Hahahhaaa
aikaruwa1983 said: tuanye una watu wanne wanakuamini ukaawakopa laki tano kila mtu hapo inakuwaje Click to expand... Hahahhaaa
zinginary JF-Expert Member Joined Dec 18, 2015 Posts 2,483 Reaction score 1,705 Jan 4, 2017 #14 Wana siasa sana..inawezakanaje hiyo tuone maelekezo