Unawezaje kutengeneza milioni mbili ndani ya siku 30?

zerdi

Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
12
Reaction score
4
Hello, sifundishi ila nna challenge moja, haiwezekani kutengeneza milioni mbili ndani ya siku 30?!

Anyways share mawazo yako, and nitarudi baada ya siku kadhaa kushare nilichoona kinawezekana.
 
Inawezekena kupata milioni mbili kwa mwezi lakini inategemea mtaji ulionao
 
tuanye una watu wanne wanakuamini ukaawakopa laki tano kila mtu hapo inakuwaje
 
Hio hela MBONA ndogo unatengeza Kwa SAA tu
 
Inategemea na biashara na mtaji ulio nao
 
Simple. Nenda kwa sangoma na ufuate masharti bila kukosea
 
Utakuwa umesoma stori ya jamaa wa Mwanza anayeuza Mbwa na ndani ya mwezi mmoja anainiza zaidi ya millioni mbili.
 
Wana siasa sana..inawezakanaje hiyo tuone maelekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…