Unawezaje kutrack sms za whatsup?

kama nime kuelewa vizuri unamanisha unataka kupata sms za mtu mwingine na ukazisoma.if yes
chukuwa simu nyingine inayo support whatsapp instal wahatsapp ukifika sehemu ya kuweka number zako za line iliyo kwenye simu usifanye hivyo badala yake weka namba za mtu unateka kusoma sma zake hakikisha una simu yake hapo whatsapp wata tuma code kwa njia ya sms ili ku veryfy na kuendelea na installation zi andike hizo namba za verfication zitakazo tumwa kwenye namba ya unaetaka kusima sms zake then malizia installation off you go.futa sms ya code zilizotumwa kwake,kwanzia hapo utapokea sms zote atakazo tumiwa ila hutaweza kupata anazo zituma yeye.
 
! duh !!! mkuu networker, asante kwa GPS.
lakini ninaona kama ninaanza kupata ugonjwa wa BP!
 
whatsapp sio wajinga namna hiyo, whatsapp haisupport matumizi ya account moja kwenye device m bili kwa wakati mmoja, pindi tu atakapo verify matumizi ya simu mpya simu ya zamani italoose acces so mwenye simu atajua tu na atarequest acces upya then kwa huyu wa pili ataloose acces tena. so jibu ni hapamna huwezi soma mssages za mtu
 
inabidi umuombe usome... Mkuu networker hizo code pindi zinatumwa... Laini yake inabidi iwe kwenye simu hiyo hiyo inayoaccess whatsapp.. Nikiwa na maana kwamba pondi access code zinatumwa huwez kuziandika.. Itajiverify yenyewe kupitia process nne.. Ikioma unazengua inakupiga burn ya masaa kama mawili na kuendelea
 

Pasipo aibu unatoa elimu ya uhalifu!. Tafakari haya uliyoyaandika, jiulize yana tija kwako? Au kwa taifa? !

Lakini hata uliyo yaandika si kweli. Kufungua account kwa kutumia namba ya mtu mwingine manake sms zitakwenda kwenye hiyo namba nyingine na si kwenye simu uliyofungulia account.

Ushauri kwa wote! Hivi vitu mnavyoviita maujanja siyo maujanja ni maujjinga!. Tusitoe elimu ya uhalifu hapa hata kama unataaluma ya uhalifu. Haya mambo yataturudia wenyewe
 

Kwa hiyo haiwezekani mkuu
 

ungekuwa unajua maana ya bugs usingeandika haya yote..
 


mkuu acha uongo bana duh
 

yap! Ndivyo ninavyoelewa mimi
 

sure mkuu 100% not possible namiliki simu mbili niliwahi kufanya hivo .. ni impossible

Hawa jamaa wa Whatsapp wako makini sana, mwanzo pia nilizani it is possible, nika taka ni tumie na kwenye PC yaani instantly kitu ika block on my phone
 

we jamaa mi cja andika kitu amabacho sija kifanya nime fanya na bado natumia
nina simu ina whatsapp nime configure na line ya tigo,nina galaxy tab nime weka line ya voda na wakati wa ku veryfy nika weka namab ya tigo japo kuwa nime weka line ya voda na kote na pata whatsapp kama kawa.
so kama haija fanya kazi kwako soory
 

hahahahahahaha ngoja nkustai. Ila anza kwa kumuliza mmiliki wa Jf kwanini anamiliki forum inayo expose vitu ambayo ni confidential vya serekali mulize kwake lina tija gani kuwapa watu uhuru wa kupost jibu atakalo kupa fanya na mimi ndio nimekupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…