Unawezaje kuuandaa mchanga wa bahari kwa namna rahisi ukafaa kwa ajili ya ujenzi?

Unawezaje kuuandaa mchanga wa bahari kwa namna rahisi ukafaa kwa ajili ya ujenzi?

Obimbo

Member
Joined
Nov 17, 2020
Posts
35
Reaction score
36
Wakuu salaam,

Unawezaje kuuandaa mchanga wa bahari kwa namna rahisi ukafaa kwa ajili ya ujenzi? ili kupunguza adha za mchanga wa mtoni ambao gharama yake ipo juu, wakati mchanga wa bahari upo karibu na mimi kabisa.​
 
😅😅😅mkuu umenichekesha et upo karibu na mim kabisa . Ila nadhan ni ngum sabu una chumvi utakusumbua labd ngoj waje maengeneer watupe muongozo
 
Back
Top Bottom