Obimbo Member Joined Nov 17, 2020 Posts 35 Reaction score 36 Nov 17, 2021 #1 Wakuu salaam, Unawezaje kuuandaa mchanga wa bahari kwa namna rahisi ukafaa kwa ajili ya ujenzi? ili kupunguza adha za mchanga wa mtoni ambao gharama yake ipo juu, wakati mchanga wa bahari upo karibu na mimi kabisa.
Wakuu salaam, Unawezaje kuuandaa mchanga wa bahari kwa namna rahisi ukafaa kwa ajili ya ujenzi? ili kupunguza adha za mchanga wa mtoni ambao gharama yake ipo juu, wakati mchanga wa bahari upo karibu na mimi kabisa.
Dallas green JF-Expert Member Joined Nov 17, 2019 Posts 1,377 Reaction score 2,800 Nov 18, 2021 #2 😅😅😅mkuu umenichekesha et upo karibu na mim kabisa . Ila nadhan ni ngum sabu una chumvi utakusumbua labd ngoj waje maengeneer watupe muongozo
😅😅😅mkuu umenichekesha et upo karibu na mim kabisa . Ila nadhan ni ngum sabu una chumvi utakusumbua labd ngoj waje maengeneer watupe muongozo
Obimbo Member Joined Nov 17, 2020 Posts 35 Reaction score 36 Nov 22, 2021 Thread starter #3 Ngoja niwangojee