TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
ThibitishaRudisha tu kinyumenyume utaziona
Wakati unalala jichomeke flash disk ili iwe inanyonya mafaili.Hakuna njia ya uhakika ya kurejesha ndoto ambayo tayari umeisahau kabisa. Ndoto nyingi hupotea haraka sana baada ya kuamka kwa sababu ubongo hauzihifadhi kwenye kumbukumbu za muda mrefu kwa nguvu kama matukio ya kawaida.
Hata hivyo, unaweza kujaribu kuongeza uwezekano wa kuzikumbuka:
- Kaa kitandani kwa dakika chache baada ya kuamka. Usikimbilie kushika simu au kuanza shughuli nyingine.
- Jiulize mara moja: "Niliota nini?" Hata ukikumbuka hisia tu (furaha, hofu, mshangao), anza hapo.
- Andika kila unachokumbuka. Hata vipande vidogo kama mtu, mahali, au rangi vinaweza kuchochea kumbukumbu nyingine.
- Weka daftari la ndoto. Kadiri unavyozoea kurekodi ndoto, ndivyo uwezo wa kuzikumbuka unavyoongezeka.
- Tafakari vichocheo vinavyohusiana na ndoto hiyo. Watu, maeneo, au matukio ya siku zilizopita wakati mwingine huamsha kumbukumbu za ndoto.
Ikiwa ndoto uliyoisahau ilikuwa ya hivi karibuni (leo au jana), kuna nafasi kubwa zaidi ya kurejesha baadhi ya vipande vyake kuliko ikiwa imepita wiki au miezi mingi.
Wapi?Wakati unalala jichomeke flash disk ili iwe inanyonya mafaili.
Kama vile unavyokumbuka matukio ya jana na juzi ndivyo hivyo inatakiwa ukumbuke ndoto zako kwa kurudi kinyumenyumeThibitisha
Je hujawahi kuota ndoto na ulipoamka ukawa umeisahau?Kama vile unavyokumbuka matukio ya jana na juzi ndivyo hivyo inatakiwa ukumbuke ndoto zako kwa kurudi kinyumenyume
Umenena jemaUmewahi kujiuliza kuwa kusahau ndoto siyo tatizo la ubongo, bali ni psychological defense mechanism?
Kuna nadharia kwamba ndoto ni ujumbe kutoka kwenye subconscious, unaposhindwa kuikumbuka, inawezekana ni kwa sababu akili yako inakataa kukabiliana na ukweli uliomo kwenye hiyo ndoto, badala ya kutupa mbinu za kuandika kwenye daftari ni bora mtu ajifunze kuwa na uwezo wa ku access repressed memories kwa kutumia techniques za advanced meditation au lucid dreaming ili kuilazimisha akili ikumbuke.
Naipata wapi?Tumia VAR tu jombaa
Kusahau maana yake memory card yako ina shida ila sio shida ya muumbajiJe hujawahi kuota ndoto na ulipoamka ukawa umeisahau?
Ukilewa ni kifiro tuKusahau maana yake memory card yako ina shida ila sio shida ya muumbaji
Kama ndio tabia zako mimi siwezi kukufira nikiwa nimelewa au nikiwa sijalewa shoga wewe🤮🤮🤮Ukilewa ni kifiro tu
Nikilewa mniache ni ID yenye simulizi chafu sana baada ya kulewaKama ndio tabia zako mimi siwezi kukufira nikiwa nimelewa au nikiwa sijalewa shoga wewe🤮🤮🤮