Unawezaje kuzuia wasikate rufaa

Unawezaje kuzuia wasikate rufaa

Dodo86

Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
99
Reaction score
83
Habari Wana Jamii.

Hivi process ya kukaza hukumu inakuaje? Mfano mmeshinda kesi mahakamani na unataka wale waliokushataki wasijate rufaa ni hatua zipi za kufata za kiesheri ili uweze kukaza hukumu?
 
Habari Wana Jamii. Hivi process ya kukaza hukumu inakuaje? Mfano mmeshinda kesi mahakamani na unataka wale waliokushataki wasijate rufaa ni hatua zipi za kufata za kiesheri ili uweze kukaza hukumu?
Baraza la kata unakazia hukumu Baraza la ardhi la wilaya ,Baraza la ardhi na nyumba wilaya unakazia pale pale sawa sawa sawa na mahakama kuu unakazia pale pale kwenye mahakama kuu isipokuwa una andika application ya kukazia hukumu ukiambatanisha na decree,judgement,drawn order
 
Lakini upande wa pili pia wanao nafasi yakuweka stay of execution kuzuia jipange kwa vyote
 
Back
Top Bottom