Unawezaje mtu binafsi kusimama kwa niaba ya familia na kizazi chako??

Joined
Mar 28, 2017
Posts
17
Reaction score
19
Mi nadhani ili kujikwamua na kuacha legacy kwa kizazi chako ni kujitoa, kuachana na anasa hata kama una uwezo nazo lakn acha uelekeze nguvu kwny kazi. Mi naona hapa ndo watu wengi tunafeli, mtu yupo radhi akope deni atakalolilipa kwa miaka mitano wakati anaanza kazi ili tu apange ghorofani na apate gari ya kutamba nayo mtaani, kwa mentality hii ni vigumu sana kutoka au kuutoa ukoo ukizingatia kama ukoo/jamii inayokuzunguka ni masikini babu na wewe kutoka ni ngumu aisee.
 
Kuutoa ukoo...!! Ulioukuta au unaoanzisha...?

Usile Mbegu.
 
Kuwa tayari kuonekana mbaya mwanzoni kwa kusimamia malengo yako effectively mpaka uhakikishe umeanza kuyaishi, halafu baada ya hapo waondolee ule mtazamo wa kuonekana mbaya kwa kuishi ule uhalisia wako.

Wape siri ya wewe kutoboa na waelewe maana ya ile hali yako iliyoonekana kuwa mwanzoni mpaka kuonekana mbaya. Watakuheshimu automatically na utakuwa mfano.

Binafsi am within 20's, natumia hiyo mbinu nina imani asilimia mia moja Mungu akinijaalia uzima kabla ya kufikisha 30 nitakuwa naishi KUSUDI LA MAISHA YANGU.

SIYO RAHISI, elewa hilo but ukiwa na nia ya dhati kutoka ndani hakuna kitakacho kuzuia coz matatizo kwako yatakuwa kama changamoto, na hizo changamoto zitakuwa fursa na hizo fursa.

Mkuu legacy haiachwi hivihivi, kiurahisi tu.

Kuacha Mali nyingi nyuma that's not legacy but the value utakayoiacha ndiyo true legacy.

Nasema hili na hakuna wa kubisha
"Hakuna kizazi kitakachomsahau Baba wa Taifa Mwl. Nyerere "

Huo ndo mfano mzuri wa true legacy kuanzia ngazi ya familia hadi Taifa.

You can make it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…