Unayakumbuka Haya Matamshi Ya Maneno Ya Kiingereza?

Unayakumbuka Haya Matamshi Ya Maneno Ya Kiingereza?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Ilikuwa ni mapema miaka ya 1980 matamshi ya maneno haya ya kiingereza
yalichekesha sana watu.
Foreign Affairs ilitamkwa Foleni ya viazi.
Petroleum Jelly ilitamkwa Petroli ya Mjeli.

Kwa sasa ni maneno gani ya kiingereza yenye matamshi ya kuchekesha?
 
Back
Top Bottom