SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,265 Oct 14, 2014 #1 Ilikuwa ni mapema miaka ya 1980 matamshi ya maneno haya ya kiingereza yalichekesha sana watu. Foreign Affairs ilitamkwa Foleni ya viazi. Petroleum Jelly ilitamkwa Petroli ya Mjeli. Kwa sasa ni maneno gani ya kiingereza yenye matamshi ya kuchekesha?
Ilikuwa ni mapema miaka ya 1980 matamshi ya maneno haya ya kiingereza yalichekesha sana watu. Foreign Affairs ilitamkwa Foleni ya viazi. Petroleum Jelly ilitamkwa Petroli ya Mjeli. Kwa sasa ni maneno gani ya kiingereza yenye matamshi ya kuchekesha?