aiss!!ngoja nikamnunulie wife kishinda!!na dukani nitauliza kwa jina hilo hilo,sijui tutaelewana!Hebu tujikumbushe maneno ya kiswahili ambayo kwa sasa aidha yamesahaulika au yanatumika kwa nadara sana.
- Jokofu = Friji
- Sigiri = Jiko la Mkaa
- Kishida = Underskirt,
- Msusa = Majani ya Maboga,
- ......... =........
Hebu na wewe ongezea mengine katika kukienzi Kiswahili
Bilauli=Glasi
Shumizi=Singilendi
Sarawili=Suruali
Shifti=Dira(gauni ndefu)
Kurunzi = Tochi
Hidaya =Zawadi
Actually neno "bukta" ni brand/trade name kama ilivyo adidas, nike etc. Sema kwa sababu ya mazoea watu wameyatohoa na kuyatumia kama majina. Ni kama vile watu wengi wanavyotumia maneno "Thermos" (semosi), "Shell" (sheli) etchata neno bukta maana yake kaptula limesahaulika sana
kwani sifa ya gari ni lazima liwe na pleti namba?Ha ha ha.. Mkuu Bujubuji hilo limepitishwa kweli..?