Unayo akiba ya Tsh 150,000 kila mwezi na hutaki kufa Masikini, Kataa Ubinafsi, Soma Hapa

Be careful guys and warned.


Kuna jamaa ninamfaham humu jamii forum in personal kabisa huwa anakuja na hivi vimawazo vya kujikwamua mwisho wa siku ni utapeli.


Nasema tena kuweni makini.
Unajua mtu ambaye hajawahi kutapeliwa ataona hizi ni hadithi tu
 
[emoji15]
 
Hivi uwongo unakupa faida gani Mkuu ?

Au Watu wakiendelea kuwa masikini wewe unafaidika na nini ?

Weka hapa hata picha yangu kama unanifahamu IN PERSON, mimi najitoa JF !!
Mzee umemuelewa vibaya amesema kuna jamaa na hajamtaja jina...vumilia tu usioneshe hasira kabla hujaanza biashara ndo changamoto hizo ila alichosema jamaa ni kama tahadhari kwa member na kama unavyojua wasiwasi ndo akili
 
Mzee umemuelewa vibaya amesema kuna jamaa na hajamtaja jina...vumilia tu usioneshe hasira kabla hujaanza biashara ndo changamoto hizo ila alichosema jamaa ni kama tahadhari kwa member na kama unavyojua wasiwasi ndo akili
Jamaa ananishangaza sana, nimemuelesha ila sioni dalili za kunielewa. Natumia fursa hii kumuomba msamaha kama nimemkwaza.


Lakini pia mimi nimewahi kutaka kutapeliwa kwa mtu aliekuja na wazo kama hili. Ndio maana nikatoa ONYO/ANGALIZO kwa wadau wawe makini.



Anyway niwatakie Maisha mema
 
Mkuu wew na Ontario Ni mtu na mdogo wake au wew ndiye Ontario tuliyekuwa tukimsubiri?
 
Mzee umemuelewa vibaya amesema kuna jamaa na hajamtaja jina...vumilia tu usioneshe hasira kabla hujaanza biashara ndo changamoto hizo ila alichosema jamaa ni kama tahadhari kwa member na kama unavyojua wasiwasi ndo akili
Shukhrani
 
Ni wazo zuri tena zuri sana, hasa katika kipindi kama hiki cha "vyuma kukaza" ila Nilikua na suggest jambo moja naona kama idadi ya wana hisa ni kubwa sana hasa kwa start up kama hiyo. Hebu lifikirie tena hilo mkuu mana kupata idadi ya watu 45 wote mkawa na mawazo sawa....... I doubt that
 
Mkuu weka account link ya group la whatsapp atayejiunga atajiunga asiyetaka atakausha no time to ask for permission
 
Mawazo mazuri sana haya.
Changamoto kubwa utakayokutana nayo ni kupata watu sahihi, waaminifu, wavumilivu na wachapakazi. Binafisi, tulianza umoja kama huo, tulianza mtu 12 hivi lakini baadae tulibaki mtu 8 serious ambao tunaendelea hadi Leo...

Kama unavojua sisi watanzania, wachache sana watakutia moyo kama komenti ulivoziona mwenyewe. Wengi watakukatisha tamaa, shuhuda ambazo muda mwingine ni changamoto tu ambazo haziwezi kuzuia malengo bali inaweza ukazitumia kuandaa mikakati ya kuimarisha mpango wako.

Kama nisingekuwa kwenye kampuni niliyopo sasa ningekutafuta sasa. Ushauri, usikate tamaa wala kufa moyo bali fanya kweli kwa mafanikio hayaji siku 1 tu....
 
Shukhrani mkuu, huu kwanza ndio mwanzo.

Lengo la kupata watu ilikuwa ni kujaribu "kulivuta" litake off mapema ila ni lazima litafanyika hata kama ni baada ya miaka 15 !
 
Kwa mujibu wa maelezo yako ulitoa laki 5 na umeshapokea laki 3 regardless ni capital gains au actual capital so ni laki 2 ndio inakufanya ujiapize hutomuamini mbongo?
 
Nimekufuatilia threader kwa umakini wa kawaida actually unachojaribu kukielezea kina mantiki in terms of business realistic

Sioni ni kitu gani unaficha kuelezea business katika uhalisia wake kwamba kuna wengine wataiga na kuharibu mipango yako

Ila hiyo biashara inajulikana tu na wengi ukifungua alibaba au aliexpress mambo yapo hadharani, ni biashara nzuri kiukweli ila tatizo linakuja kwenye minimum order quantity ya suppliers wako

Mimi binafsi nilishafanya hiyo biashara kipindi cha home shopping center au silent ocean sababu wao ndio walikua na affordable prices za freight tariffs lakini walivyoondoka nikaacha

Ila all in all kama ni hii biashara niijuayo basi ni idea nzuri sana na inalipa kiukweli ila challenge yake ni muda wa kuusubiria mzigo
 
Hakuna cha kuficha Mkuu. Wala kuficha chochote hakusaidii chochote, hizi ni nyakati huru.

Hiyo Minimum Order Quantiy ndio lengo halisi la kutafuta 'Watu' wa kuunganisha nao mtaji.
 
Hakuna cha kuficha Mkuu. Wala kuficha chochote hakusaidii chochote, hizi ni nyakati huru.

Hiyo Minimum Order Quantiy ndio lengo halisi la kutafuta 'Watu' wa kuunganisha nao mtaji.
Ni kweli, tupo pamoja katika hili
 
CRDB inamilikiwa na watu wangapi ?

NMB je ?

Vipi kuhusu VodaCom ?

China kuna makampuni yana wamiliki hadi 500 unazungumzia watu 50 ??!

Yawezekana haiwezekani kwa [HASHTAG]#MtuMweusiTu[/HASHTAG]
Kaka wazo lako ni zuri ila halitekelezeki hizo kampuni zote kubwa hazikuanza na watu wengi watu walianza kununua hisa baada ya kampuni kukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…