GSDA ni TV nzuri inayopatikana kwa bei nafuu na zinatumia android OS, zinatoa picha nzuri mfano Ultra HD 4K na pia smart models zinasapoti streaming services kama Netflix and YouTube, nk. Pia wireless connectivity kama Bluetooth, WiFi.
Hata hivyo linapokuja suala la durability na premium features haiwezi kuzifikia Hisense na TCL
Lakini kwa kuanzia maisha au kwa mtu asiye taka mambo mengi au bajeti inabana basi GSDA ni chagua sahihi
Sijazitumia lakini waliozitumia wanazisifu.