Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Dunia ina jumla ya kalenda 33 zinazotumika hadi hivi sasa, kalenda tunayoitumia nchi nyingi za Afrika ni hii ya Gregory mkuu, Je wazijua Kalenda nyingine?
Kalenda ya kiebrania inayotumiwa na waisrael kwao huu ni mwaka 5780 – 5781. Kalenda iliyo na miaka mingi ni ‘Holocene calender’ hii inawasaidia sana wasomi wa geolojia, anthropolojia na akeolojia, kwao huu ni mwaka wa 12020
Kalenda ya Korea Kaskazini kwa sasa wako mwaka wa 109, kalenda tulioizoea ya Gregory Mkuu huu ni mwaka wa 2020. Waslam na waarabu kwa ujumla hufuata mlolongo wa kalenda ya Hijra ‘hijri calender’ ambao huu ni mwaka wa 1441-1442

| KALENDA | MWAKA |
| Gregorian calendar | 2020 |
| Ab urbe condita | 2773 |
| Armenian calendar | 1469 |
| Assyrian calendar | 6770 |
| Bahá'í calendar | 176–177 |
| Balinese saka calendar | 1941–1942 |
| Bengali calendar | 1427 |
| Berber calendar | 2970 |
| British Regnal year | 68 Eliz. 2 – 69 Eliz. 2 |
| Buddhist calendar | 2564 |
| Burmese calendar | 1382 |
| Byzantine calendar | 7528–7529 |
| Chinese calendar | 4716 or 4656 4717 or 4657 |
| Coptic calendar | 1736–1737 |
| Discordian calendar | 3186 |
| Ethiopian calendar | 2012–2013 |
| Hebrew calendar | 5780–5781 |
| - Vikram Samvat | 2076–2077 |
| - Shaka Samvat | 1941–1942 |
| - Kali Yuga | 5120–5121 |
| Holocene calendar | 12020 |
| Igbo calendar | 1020–1021 |
| Iranian calendar | 1398–1399 |
| Islamic calendar | 1441–1442 |
| Japanese calendar | Reiwa 2 |
| Javanese calendar | 1953–1954 |
| Juche calendar | 109 |
| Julian calendar | Gregorian minus 13 days |
| Korean calendar | 4353 |
| Minguo calendar | ROC 109 |
| Nanakshahi calendar | 552 |
| Thai solar calendar | 2563 |
| Tibetan calendar | 2146 or 1765 or 993 2147 or 1766 or 994 |
| Unix time | 1577836800 – 1609459199 |