Boflo JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 4,383 Reaction score 4,412 Oct 23, 2010 #1 hivi huyu mdada anahitaji air bags??
M mamanalia JF-Expert Member Joined Nov 7, 2009 Posts 666 Reaction score 146 Oct 23, 2010 #2 Nadhani hata mkanda hawezi kufunga. Ananikumbusha issue ya British airways na AIRBUS kuhusu kuongeza seat belts kwa watu wanene. BA wakasema mtu akiwa mnene sana itabidi alipie two seats.
Nadhani hata mkanda hawezi kufunga. Ananikumbusha issue ya British airways na AIRBUS kuhusu kuongeza seat belts kwa watu wanene. BA wakasema mtu akiwa mnene sana itabidi alipie two seats.
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,279 Reaction score 310 Oct 23, 2010 #3 mbona huyu tayari naona ana natural airbag
hashycool JF-Expert Member Joined Oct 2, 2010 Posts 6,555 Reaction score 2,837 Oct 23, 2010 #4 boma2000 said: mbona huyu tayari naona ana natural airbag Click to expand... hii chakula ya mtoto ya mchina au? maanake hapo chini naona maandishi ya kichina...
boma2000 said: mbona huyu tayari naona ana natural airbag Click to expand... hii chakula ya mtoto ya mchina au? maanake hapo chini naona maandishi ya kichina...