Bexb
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 715
- 1,619
Habari ya jioni wakuu. Ninaulizia ofisi tajwa hapo juu kama kuna ambaye ana taarifa zao ama alishawahi kuwatumia.
Wanadai kuwa guwa wanafanya usafirishaji wa vifurushi kayi ya Dubai na Dar es salaam. Nafaka kujua kama kuna anayejua mahali ofisi zao zilipo hapa Dar. Naomba kama kuna taarifa zozote za utapeli ama usumbufu kwa wateja wake ili niweze kuchukua tahadhali.
Shukran sana.