Unazikumbuka Hizi?

Mwenye kuhitaji hizi collection za Pesa za zamani, ani-PM, nitamtumia...
 
Na mwenye kuzihitaji hizi basi anitafute Mtaa wa mchambawima kila siku ya alhamis na siku zilizobaki nakuwapo hapa kutalatembo .
 
Attachments

  • ZanP25Rupees1_1_1908Lee100.jpg
    61.9 KB · Views: 119
  • ZanP_25Rupees1_8_1916.jpg
    297.2 KB · Views: 144
  • ZanP11Rupee191920.jpg
    49.9 KB · Views: 117
  • zanP_310Rupees1_8_1916PS.jpg
    280 KB · Views: 116
Na mwenye kuzihitaji hizi basi anitafute Mtaa wa mchambawima kila siku ya alhamis na siku zilizobaki nakuwapo hapa kutalatembo .
Ahasante mkuu kwa nyongeza yako...! Benki yangu ya mambo ya kale imeongeza kitu adhim kabisa.

Bado natafuta zile pesa zilizokuwa zinatumika Kilwa enzi zile za nehma!
 
Eh ama kweli. Enzi hizo pesa ya Tz inaitwa masai. Haikuwa rahisi kuwa na masai miaka hiyo. Ni matajiri wachache ndiyo walikuwa nayo. Miaka hiyo bia ilikuwa shs 1.50 cents
 
Eh ama kweli. Enzi hizo pesa ya Tz inaitwa masai. Haikuwa rahisi kuwa na masai miaka hiyo. Ni matajiri wachache ndiyo walikuwa nayo. Miaka hiyo bia ilikuwa shs 1.50 cents
Usisahau na ile soda maarufu ya Fanta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…