pangalashaba
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 1,301
- 1,579
hahahaha..nakumbuka mechi ya OPEC ya Mikocheni na Abajalo ya Sinza...kipindi hicho Kali ongala yuko Abajalo..mimi niko OPEC
mchizi alitupiga tatu huku Abajalo kashinda 5-2...mimi nilitupia moja
Msasani kulikua na
1.Kambarage
2.Opec
3.Beach Boyz