Unazingatia nini unapotunga neno siri (nywila)--password?

Unazingatia nini unapotunga neno siri (nywila)--password?

Nina password 1 na ndo natumia ktk kila apps niliyopo.
Huwa sibadilishi password, lakini hii password enyewe, hata napoandika huwa nachekaga sanaa.

Sipati picha wakati najoin JF, nilivyoweka password hii walishtukajee. Woiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
cocastic hapo unakosea!Kama password yako itadakwa na wajanja maana yake una uwezekano wakupoteza vitu vingi.
Hii password mjanja gani ataidakaa?
Thubutuuuuu. Miaka buku hii itaishi na mie tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nina password 1 na ndo natumia ktk kila apps niliyopo.
Huwa sibadilishi password, lakini hii password enyewe, hata napoandika huwa nachekaga sanaa.

Sipati picha wakati najoin JF, nilivyoweka password hii walishtukajee. Woiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupe hint basi nasi tucheke
 
Mie naweka password na sizingatii chochote. Kila mwezi lazima nibadili nywila
 
Password weka iwe mchanganyiko wa nambari, maneno na alama na iwe ndefu...

Mfano mimi passwords nazotumia ni kuanzia characters 15 hivi...
 
cocastic kwenye teknolojia kuna mengi sana. Taarifa zako hazivuji ukiwa unaona wala unatambua. Unaweza kuivujisha wewe mwenyewe muda wowote. Mimi aliwahi nitafuta mtu nimrekebishie akaunti yake ya Facebook (ni ke [emoji23][emoji23][emoji23]) alinipa namba na password kabisa na alinikabidhi na simu yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie simpi mtu kunirekebishia Cm angu km cmfahamu, hususani masuala ya apps na vingine vinavyohitaji Neno siri.

Nampa mtu wangu wa karibu tyuuh.
 
Nyafwili 😂😂😂 kila mtu huwa anasema kaishia darasa la tatu B lakini anachokiandika hakiendani na anachotuambia (kuhusu Elimu yake)
Hicho ni kipawa tu mkuu 😁😁, Kama unavyojua, Usipo fanya mambo ya kitoto angali bado mtoto, Ukiwa mkubwa utafanya mambo ya kitoto na utaonekana kituko kwa jamii.
 
Password zangu nyingi zinafanana ila usernames ndio najitahidi kuzificha.

Kwa hiyo ili uweze kuniibia nywila inabidi uanzie kufahamu username ndipo uje umalizie na nywila.

Kama huijui username hata nikikupa nywila utashindwa kuitumia.

JF walishatoa muongozo wa namna ya kutengeneza nywila imara, tuzingatie
 
Nina password 1 na ndo natumia ktk kila apps niliyopo.
Huwa sibadilishi password, lakini hii password enyewe, hata napoandika huwa nachekaga sanaa.

Sipati picha wakati najoin JF, nilivyoweka password hii walishtukajee. Woiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ebu tuone...[emoji2]
 
cocastic kwenye teknolojia kuna mengi sana. Taarifa zako hazivuji ukiwa unaona wala unatambua. Unaweza kuivujisha wewe mwenyewe muda wowote. Mimi aliwahi nitafuta mtu nimrekebishie akaunti yake ya Facebook (ni ke [emoji23][emoji23][emoji23]) alinipa namba na password kabisa na alinikabidhi na simu yake
Story haijaishia hapo imalizie please [emoji23][emoji23]
 
Nyafwili ni ngumu mwanafunzi wa darasa la tatu kuwa na uwezo wa kutumia maneno yenye uzito na ushawishi anapoandika
🤔🤔, Matajiri ( natolea mfano usio hai), Ndo husikilizwa zaidi, kwa sababu jamii inaamini mtu mwenye pesa ndo hutoa mawazo mazuri, Hata kama hakutia mguu class. Lee Yeon
 
Variable mbili ni force no ya JKT
Mbili ni reg no ya chuo
Moja ni tar ya kuzaliwa baba
Moja ni tar ya kuzaliwa mama
Moja ni tar ya kuzaliwa Mimi
Moja ni idadi ya watoto wote wa kwetu

Jumla variable nane
 
Back
Top Bottom