1)Kwanza naliTweet kule Tweeter kwa lugha nayojua mimi kama nilivyo fanya hapa JF hapo chini utaona nimeandika Portifolio.. then hiyo Tweet nina i-pin kwamaana kila nikiingia nauona mpango/plan niliyopanga.
2)Naliandikia mikakati/Strategies nitazofanya kuufikia uwo mpango kwenye Phone Notebook.
3)Naingia kwa Ground kuFace reality nikiwa Guided na strategies, alternatives strategies nitazipata hukohuko kwa Ground kutegemeana na changamoto nitayokuta.
4)Asilimia 90 ya mawazo nayowaza yatachukuliwa na uwo mpango/plan/jambo ninalokusudia.
Portfolio | 2020